JustWatch - Filamu zinazotiririshwa mtandaoni
Ni filamu gani mpya unaweza kutazama mtandaoni sasa hivi? Tafuta hapa chini orodha kamili ya filamu zote mpya zinazotiririshwa kwenye watoa huduma 200+ wakuu wa utiririshaji nchini Kenya. Tumia chaguo letu kubwa la vichujio kufafanua utafutaji wako kwa matoleo mapya ya filamu yanayolingana na mapendeleo yako. Ni filamu gani mpya za 2021 au filamu mpya za 2020? Tumia kichujio chetu cha "mwaka wa kutolewa" kuziona! Kuna filamu gani mpya za watoto? Kichujio chetu cha “ukadiriaji wa umri” kitakupatia jibu hilo. Ni filamu gani mpya kwenye Netflix au filamu mpya kwenye Amazon Prime? Chagua watoa huduma wako uwapendao katika Upau wa kutazama na ugundue matoleo yote mapya ya watoa huduma hao. Kutafuta filamu mpya ya kuogofya? Jaribu kichujio cha “aina” na ugundue filamu mpya za kuogofya sasa! Ikiwa unataka msukumo fulani wa filamu bora mpya, pia tuna ukurasa maalum wa hiyo: Filamu bora.
Unaweza kung’amua kinachokuja karibuni kwenye huduma za utiririshaji nchini Marekani kwa kutumia orodha yetu ya filamu na maonyesho yajayo ya TV. Unaweza pia kutumia vichujio vyetu kutazama filamu zijazo na maonyesho yajayo ya TV kivyake.